Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo September 23 2016. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Friday, 23 September 2016

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo September 23 2016.


Kufuatia hatua ya Serikali kununua hisa zote za Bharti Airtel ambaye alikuwa mbia mwenza wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) na hivyo Serikali kumiliki hisa za Kampuni hiyo kwa asilimia 100, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Waziri Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL.
Waziri Waziri Kindamba ameteuliwa kushika nafasi hiyo kuanzia leo September 23 2016. Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura atapangiwa kazi nyingine.
Millard Ayo.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT