RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Friday, 2 September 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA.


U1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Doto James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.
U2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Fedha na Mipango Doto James mara baada ya kuapishwa.
Mjengwa blog.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT