PICHA 10: Ilivyokuwa kwenye tukio la kupatwa kwa jua Mbarali Mbeya. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 1 September 2016

PICHA 10: Ilivyokuwa kwenye tukio la kupatwa kwa jua Mbarali Mbeya.


September 1 2016 tukio la kupatwa kwa jua limetokea katika Kijiji cha Rujewa, Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya ambapo lilianza majira ya saa 4: 20 hadi saa 7:25.
Unaambiwa wanataaluma wa anga kutoka duniani kote pamoja na wanasayansi, wanafunzi pamoja na jamii ya Tanzania walikuwa Rujewa, kusini mwa Tanzania, kushuhudia duara la Jua linavyobadilika kuwa mithili ya pete.
2X6A6650 ONE_0050 2X6A6625 ONE_0082
 ONE_0120 ONE_0121 2X6A6592 2X6A6609 2X6A6610 2X6A6612
By Millard Ayo.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT