Uhuru Kenyatta akiwa na viongozi wa kampuni ya Volkswageni.
Uhuru Kenyatta akiwa na viongozi wa kampuni kubwa ya magari Volkswagen Group Nchini Kenya ambapo kampuni hiyo amekubali kuanzisha kiwanda kikubwa chini Kenya.
kiwanda hicho kitajengwa maeneo ya THIKA nchini Kenya.
Uhuru Kenyatta ametamba kuwa hii ni mikakati ya kuhakikisha kenya inakuwa nchi ya viwanda chini ya utawala wake/
Kampuni hiyo imesema itajenga kiwanda kikubwa cha magari na {piki piki ]nchini Kenya, Hakika itakuwa ni neema kwa wakenya wengi.

POST KWA HISANI YA www.tanzaniaclassic.com
Toa Maoni Hapa Chini

0 comments:
POST A COMMENT