Mark Zuckerberg ala ugali Kenya. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 1 September 2016

Mark Zuckerberg ala ugali Kenya.

Mark Zuckerbag akila Ugali na samaki nchini Kenya
Image captionMark Zuckerberg akila Ugali na samaki nchini Kenya
Mwanzilishi wa kampuni ya facebook Mark Zuckerberg amezuru nchini Kenya katika ziara yake ya mataifa ya bara Afrika.
Zuckerberg aliyewasili siku ya Jumatano kutoka nchini Nigeria alifanya kikao na waziri wa habari nchini Kenya Joseph Mucheru,ambapo walizungumza kuhusu mtandao na mipango ya serikali kuhakikisha kila kijiji kimeunganishwa na mtandao.
Baadaye  Zuckerberg aliekea katika hoteli ya Mama Oliech katika chakula cha mchana ambapo kwa mara ya kwanza alikula Ugali na Samaki.
''Swala muhimu ninapozuru taifa lolote jipya ni kujaribu kula chakula chao.Nilipenda sana ugali na samaki mzima wa tilapia'',alisema Zuckerberg.
BBC.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT