Mambo matano ya Waziri mkuu Majaliwa bungeni leo. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 8 September 2016

Mambo matano ya Waziri mkuu Majaliwa bungeni leo.


Kila siku ya alhamis katika vikao vya bunge huanza kwa kipengele cha maswali na majibu ya wabunge kwenda kwa Waziri mkuu wa serikali ya Tanzania, leo September 8 2016 utaratibu huo uliendelea ambapo hapa nimekusogezea baadhi ya sentensi za Waziri mkuu Kassim Majaliwa ikiwa ni pamoja na matukio ya mauaji ya askari na raia wa kawaida.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT