Soko linalounganisha nchi mbili za Afrika na wanazungumza lugha sita sokoni hapo. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 18 August 2016

Soko linalounganisha nchi mbili za Afrika na wanazungumza lugha sita sokoni hapo.


Soko hili hufunguliwa siku ya alhamisi ambapo wafanyabiashara wadogo hupanga bidhaa mbalimbli kwa ajili ya kuuza, lipo Okavu kaskazini magharibi ya Uganda kwenye barabara ambayo upande mmoja ni Uganda na upande mwingine ni nchi ya Congo pia  imeelezwa kuwa eneo hili la soko kuna lugha sita zinazozungumzwa kutokana na kwamba lipo kwenye mpaka wa nchi hizo mbili.
sokoko
Soko hilo limepewa jina la Kampala-Kinshasa Market kutokana na waganda pamoja na wacongo kufanya biashara pamoja katika soko hilo.
soko
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT