By Millard Ayo.
Najua unaweza ukawa upo mbali na Tanzania au nje ya Dar es Salaam kwa muda mrefu, lakini hilo haliwekuwa tatizo la kukufanya ukakosa kujua habari za Dar es Salaam, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee picha 5 za muonekano wa juu wa sehemu za katikati ya jiji la Dar es Salaam na muonekano wa majengo yake.








Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT