Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, udi Mpili amesema mwezi ujao Serikali inategemea kutoa Sh50 milioni kwa kila kijiji ili kusaidia vikundi vya ujasiriamali na uzalishaji ikiwa ni ahadi ya Rais John Magufuli.
Mpili ametoa taarifa hiyo kwenye kikao cha kazi na watendaji wa kata, vijiji, maofisa tarafa na watalaamu wa halmashauri hiyo.
Mkurugenzi huyo amesema vikundi vitakavyopata fedha hizo ni vile vitakavyokuwa vimesajiliwa kisheria na kutambulika.
-mwananchi
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT