![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/euro.jpg?resize=660%2C351)
Duniani kote kwa sasa Waislamu wanafanya ibada ya kutimiza moja kati ya nguzo tano za imani ya dini yao, huu ni mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Sasa kwenye mwezi huu inawezekana ukawa huwafahamu Wacheza soka ambao wanacheza kwenye michuano ya EURO wakiwa wamefunga, tazama hii Top10 hapa chini.
1- Emre Can
![GettyImages-497052854.0](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/GettyImages-497052854.0.jpg?resize=620%2C413)
Anaichezea timu ya taifa ya Ujerumani
2- Xherdan Shaqiri
![hi-res-88a6869f97490d756b2a149980836889_crop_north](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/hi-res-88a6869f97490d756b2a149980836889_crop_north.jpg?resize=620%2C413)
Huyu pia anaichezea timu ya taifa ya Switzerland ambayo tayari imetolewa
3- Granit Xhaka
![495519489](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/495519489.jpg?resize=620%2C414)
Anaichezea timu ya taifa ya Switzerland ambayo imetolewa mapema katika michuano ya Euro 2016
4- Bacary Sagna
![article-2394450-1B4C8BD3000005DC-641_634x423](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/article-2394450-1B4C8BD3000005DC-641_634x423.jpg?resize=620%2C414)
Bacary Sagna huyu anaichezea timu ya taifa ya Ufaransa
5- Arda Turan
![arda-turan-1441321285945](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/arda-turan-1441321285945.jpg?resize=620%2C387)
Arda Turan anaichezea timu ya taifa ya Uturuki ambayo ilishatolewa katika michuano ya Euro 2016
6- Paul Pogba
![2024052_w2](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/2024052_w2.jpg?resize=620%2C349)
Paul Pogba bado timu yake ya taifa ya Ufaransa ipo katika michuano ya Euro 2016
7- Stephan El Shaarawy
![97282](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/97282.jpg?resize=590%2C700)
Stephan El Shaarawy anaichezea timu ya taifa ya Italia ambayo imetolewa katika hatua ya robo fainali na Ujerumani.
8- Mesut Ozil
![mesut-ozil-germany-georgia_1veserrcdsn9czft17ivnsie8](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/mesut-ozil-germany-georgia_1veserrcdsn9czft17ivnsie8.jpg?resize=620%2C348)
Ozil anaichezea timu yake ya taifa ya Ujerumani na bado ipo katika michuano ya Euro 2016
9- Nuri Sahin
![1702887_full-lnd](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/1702887_full-lnd.jpg?resize=620%2C348)
Timu yake ya taifa ya Uturuki ilishatolewa katika michuano ya Euro 2016
10- Sami Khedira
![Sami_Khedira_euro_2012](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/07/Sami_Khedira_euro_2012.jpg?resize=620%2C388)
Anaichezea timu ya taifa ya Ujerumani ambayo imeingia katika hatua ya nusu fainali
.
.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT