PICHA 3:STAA WA MAN UNITED KAANGUKA KWA KULA CHAKULA CHA SUMU. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 5 July 2016

PICHA 3:STAA WA MAN UNITED KAANGUKA KWA KULA CHAKULA CHA SUMU.

Beki wa kati wa klabu ya Manchester United ya England ambaye pia anachezea timu ya taifa ya England Chris Smalling jina lake limeingia kwenye headlines baada ya kuanguka na kupasuka sehemu ya juu ya jicho la kulia akiwa katika mapumziko yake Indonesia.
Kwa mujibu wa mitandao mikubwa ya habari duniani kama dailymail.co.uk na mingine, imeripoti Smalling kuanguka na kupasuka sehemu ya jicho la kulia baada ya kula chakula ambacho kinatajwa kuwa kilikuwa na sumu.
35F2BAD800000578-3673391-image-a-103_1467648930735
Smalling alikuwa mbali na mpenzi wake Sam Cooke na alianguka na kupelekwa hospitali kupatiwa matibabu, beki huyo mwenye umri wa miaka 26 kwa sasa kichwani kwake kawekwa bandeji kutokana na kuumia sehemu ya juu ya jicho la kulia.

35EF353300000578-3673391-image-m-34_1467626099850
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT