PSG KUWAKABILI CHELSEA UEFA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Monday, 15 February 2016

PSG KUWAKABILI CHELSEA UEFA.


Image copyrightAFP
Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya itaendelea tena Jumanne usiku kwa mechi 2 za kwanza za Raundi ya Mtoano ya timu 16
Benfica ya ya Ureno itakuwa nyumbani dhidi ya Zenit Saint Petersburg na Paris St Germain (PSG) itakuwa nyumbani jijini Paris Ufaransa kuwavaa Mabingwa wa England Chelsea.
Na Jumatano, zitapigwa mechi ambapo Klabu ya KAA Gent ya ubelgiji watakuwa Nyumbani kucheza na Wajerumani VfL Wolfsburg, huku AS Roma ya Italia wakiwa nyumbani kupambana na Vigogo wa Spain Real Madrid.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT