MTOTO MNENE ZAIDI DUNIANI. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 5 July 2016

MTOTO MNENE ZAIDI DUNIANI.

Arya


Image captionArya Permana

Mtoto wa miaka 10 kutoka Indonesia, ambaye ametajwa kuwa mtoto aliyenenepa zaidi duniani ameanza kupewa chakula cha kupunguza uzani kwa kuwa wazazi wake wanahofia afya yake.


Arya Permana ana uzani wa kilo 188 na ameorodheshwa kuwa na unene usio wa kawaida.


BBC ilizungumza na mamaake Rokayah huko Karawang Indonesia ambaye ana wasiwasi sana kuhusu afya ya mwanawe.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT