WASOMALI WA UK WAKUTANA KUPINGANA NA ITIKADI KALI. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 9 April 2016

WASOMALI WA UK WAKUTANA KUPINGANA NA ITIKADI KALI.

Image copyrightGetty
Image captionRaia wa Uingereza
Raia wa Uingereza walio na mizizi yao nchini Somalia wanakutana mjini Bristol mashariki mwa Uingereza kujadiliana kuhusu kuwazuia watu wa jamii hiyo kuwekwa itikadi kali.
Waandalizi wanasema kuwa vijana wengi wa Kisomali kutoka Uingereza wamejiunga na makundi ya itikadi kali nchini Syria,Iraq na Somalia kwenyewe.
Kundi la wapiganaji wa kisomalia al-Shabab huwaonyesha wapiganaji wake raia wa Kisomali katika hatua yake ya propaganda.
Mkutano huo unawakutanisha wawakilishi wa jamii,makundi ya kidini wanaharakati na maafisa wa polisi.
bbc swahili.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT