DIE NJE MPAKA MWISHO WA MSIMU. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 5 April 2016

DIE NJE MPAKA MWISHO WA MSIMU.

Image copyrightAFP
Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast anayechezea klabu ya Stuttgart atakua nje ya dimba mpaka mwisho wa msimu.
Die mwenye umri wa miaka 32 anasumbuliwa na maumivu ya mguu alioumia wakati wa mchezo dhidi ya Darmstadt mchezo uliochezwa jumamosi iliyopita.
Mkurugenzi wa michezo wa Stuttgart amesema "Hii ni bahati mbaya sana , Serey Die ni mpiganaji na tunasikitika tutamkosa "
Pia kiungo huyu atakosa mchezo wa kirafiki wa timu yake ya taifa dhidi ya Gabon utaopigwa mwezi June.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT