Getty
kampuni ya mtandao wa kijamii wa Facebook umetangaza ongezeko kubwa la mapato na faida.miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2015,faida iliongezeka mara mbili zaidi ya dola bilioni moja na nusu ukilinganisha na mwaka 2014 katika kipindi kilekile.
Kampuni hii iliyoko Califonia inasema watu wengi walikuwa wanatumia simu zao za mkono ili kuangalia tovuti zao na kupelekea kiwango cha asilimia themanini ya mapato katika sekta ya matangazo.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT